Burudani

Huu ni ujumbe wa mastaa mbalimbali kwa AY katika birthday yake

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Ambwene Yessahah maarufu kama AY. Mastaa kibao wamempongeza mkongwe huyo wa muziki hapa nchini kwa kumuandikia ujumbe kibao.

Huu ni baadhi ya ujumbe aliotumiwa rapper huyo kutoka kwa mastaa mbalimbali.

Lady Jaydee

Happy birthday brother of life @aytanzania ❤️ #BeYourself

Ommy Dimpoz

Leo Amezaliwa My Brother The Legendary aka Hit Maker @aytanzania Sasa Wakati napiga pasi pensi yangu nikijiandaa kwenda kula nyama choma katika jumba lake la kifahari huko visiwani mbudya?? Hebu na ww Jaribu bahati yako Nitajie AY amezaliwa mwaka gani,Mkoa upi? na Ana miaka mingapi Nitatoa Ticket 3 za kwenda Kuwaona Everton Maana nimesikia mpaka Lukaku anakuja Diiih ? Yote haya ni @tzsportpesa #EvertonInTz

Victor Wanyama

Happy bday big boss @aytanzania have a good one bro

Diamond

Big Birthday wish to Msoja wange @jahprayzah and my Legend Brother @aytanzania …. Long Life!!

Mawana FA

my brother,happy G day…stay on point like Erick and Parish,this is that year,nah,i think this is that month..?@aytanzania

Fid Q

Happy EARTHDAY brethren @aytanzania – asante na hongera sana kwa kuwa mmoja kati ya wale WANA wachache sana ambao kile kibao changu cha #SihitajiMarafiki hakiwahusu.. ubarikiwe zaidi ??

Rita Paulsen

Happy Birthday to the Legend aka mwanzilishi, true game changer! @aytanzania Be blessed with many more years! We come a long way

Izzo Bizness

Kwanza Shikamoo bro. Pili kheri ya siku yako ya kuzaliwa bro MUNGU akusimamie kwa kila jambo

Seven Mosha

Happy Birthday Aye… we stay calm through years of waves @aytanzania . I wish you continued success ki- Dr Dre, good health and happiness ? always . God Bless

Rayvanny

HAPPY BIRTHDAY KAKA LAO @aytanzania Mungu Akupe maisha marefu yenye Mafanikio zaidi.

B Dozen

Happy Birthday Mzee Wa Zigoreee, @aytanzania you are one of the coolest people i know! Nakuombea maisha marefu na mafanikio zaidi! Stay Blessed Toyoyo!!! Sema muoe huyo mtoto! ????….

Mh Temba

Mzee wa kutema juu na kufukia juu heri ya kuzaliwa @aytanzania mungu akujalie umri mrefu jibaba #tukutaneuzeeni HAPPY B DAY?

Kajala Masanja

Happy birthday love unajua vile nakupenda yesu akutunze @aytanzania ??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents