Michezo

Samatta amwandikia Ulimwengu ujumbe huu baada ya kujiunga na Genk

Licha ya kuwa na furaha kubwa baada ya kujiunga na klabu ya FC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ali Samatta anahuzunika kutengana na mshkaji wake Thomas Ulimwengu aliyemwacha TP Mazembe. Huu ni ujumbe mrefu aliouandika Samatta kwaajili ya Ulimwengu.

Samatta-Ulimwengu-1

Am gonna miss you my nigga, hope to have you near me again/Nitaku miss sana rafiki yangu nina imani nitakuwa nawe karibu tena. Ulikuwa mshauri na mtia moyo sana katika vipindi vigumu ila ndio maisha yametupa “No Choice” katika hili. Stay blessed bro your my nigga forever??. Kila nikicheki picha we are pamoja najiskia ku-cry but no way. Wish you do the best in TP bro!!.”

Screen-Shot-2016-01-30-at-5.21.13-PM

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents