Michezo

Huyu ndio mrembo anayedaiwa kuwa na uhusiano na Cristiano Ronaldo

Kwa mujibu wa Daily Mail, mrembo anayeweza kuwa na uhusiano na Cristiano Ronaldo kwa sasa ni Alessia Tedeschi, muigizaji na mlimbwende wa Italia.

Alessia-Tedeschi-Photos-Part-10

Taarifa kutoka Italia zimedai kuwa Ronaldo anadaiwa kumpa mwaliko wa VIP Tedeschi nchini Hispania kumwangalia akicheza na kisha jioni kutoka pamoja.
screen-shot-2015-06-03-at-8-28-56-pm

Wawili hao bado hawajathibitisha kuhusu uhusiano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents