IGP Sirro aagiza kukamatwa kwa Afisa Elimu shule iliyoungua moto Byamungu Islamic

IGP Simon Sirro ameagiza kukamatwa kwa Afisa Elimu pamoja na wakaguzi wote waliokuwa wanaenda kufanya ukaguzi katika shule ya Byamungu Islamic iliyoungua moto usiku wa kuamkia Sept 14, 2020.

Wanafunzi 10 wamefariki dunia na saba kujeruhiwa baada ya bweni la shule hiyo ya Byamungu English Medium Primary School iliyoko wilayani Kyerwa kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW