Soka saa 24!

Jaguar kuja na Kigeugeu

Jaguar

Mwanamuziki tuka Kenya, Jaguar ametoa wimbo mpya unaojulikana kama Kigeugeu. Akiongea rafiki yake mkubwa ambaye na ndiye aliyetupa wimbo huo Ambwene Yesaya alisema wimbo huo wameurekodia katika studio ya Ogopa Dee jay’s, iliyopo Kenya.

{mmp3}jaguar_KIGEUGEU.mp3{/mmp3}

Msanii huyo aliweza kujipatia umaarufu mkubwa baada ya kutoa kibao chake cha ‘Tumetoka Mbali’ alichomshirika AY aka Mzee wa Comercial.

{mmp3}ay_jaguar_NIMETOKA_MBALI.mp3{/mmp3}

AY203_0

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW