BurudaniPicha

Jennifer Hudson astaajabisha…

Msanii wa kuigiza na muimbaji maarufu, Jennifer Hudson, hivi karibuni amewashangaza mafans wake pale alipofanya photoshoot na kuonekana kupungua sana tofauti na jinsi tulivyomzoea.

 

Tangu kuanza kwa shughuli zake kisanaa na muziki,Jennifer alikuwa mwanadada mwenye umbo kubwa na aliwahi kusikika wazi kwamba anajipenda umbo lake na hatakaa kamwe awe mwembamba kama wasanii wengi Hollywood.

Jennifer ingawa bado mzazi wa mtoto wa kiume mchanga,amewastaajabisha wengi kama ambavyo anaonekana kwenye gazeti hilo kwa shepu lake mpya dogoo!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents