Michezo

Joe Hart kujiunga na Torino ya Italia kwa mkopo

Golikipa wa timu ya taifa ya England Joe Hart ambae kwasasa hana namba katika kikosi cha kwanza cha Man City, chini ya kocha mpya Pep Guardiola.

37A8630B00000578-3763698-image-a-129_1472483935537

Hart ambaye hajaanza katika michezo mitatu iliyopita ya ligi kuu ya England, nafasi yake imekuwa ikichukuliwa na na kipa mkongwe Willy Caballero.

Taarifa zinasema kipa huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya leo hii ili kujiunga na timu ya Torino ya nchi italia,kwa mkopo.

Man City tayari wamemsajili golikipa Claudio Bravo toka Barca kwa mkataba wa miaka minne.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents