Michezo

Joshua amtamani Fury kabla ya kukutana na Klitschko

Bondia wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua anahitaji pambano dhidi ya Tyson Fury.

Bondia wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua

Joshua mwenye umri wa miaka 27, ameomba pambano hilo huku akimsubiria Wladimir Klitschko kama atakubali kucheza mchezo wao wa marudiano wa ubingwa wa uzito wa juu mwezi Novemba mwaka huu.

“Ninasikiliza kile watu wanacho hitaji. Tyson amezungumza sana ujinga na kusema anahitaji kupigana na mimi,” ameliambia shirikisho la habari la Sky Sports News HQ

“Sasa ninamuambia mwenyewe nahitaji vilevile kupambana na wewe tuwache watu wapate kile wanachotaka kutoka kwetu,” ameongeza.

Bondia asiyepigika ,Tyson Fury

BY HAMZA  FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents