Soka saa 24!

Joto Hasira: Lady Jaydee ashusha madongo ‘radio ya watu isiyopiga nyimbo za wasanii wa watu’

Let just say, Lady Jaydee ameamua kujitoa muhanga kwa kuchukua uamuzi mzito wa kuishushia madongo ile aliyoiita Radio ya watu (guess leo joto na hasira vimempanda).

Screenshot - 3_30_2013 , 2_49_12 AM

Jaydee ametweet:

“Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira,” ametweet Jide.

Katika kile kinachoashiria kuwa yuko tayari kwa lolote Jaydee ameongeza kwa kutweet, “Kill me if u can. Am on fire, siogopi ng’oooooo jipangeni. Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhuru. Nakunywa maziwa daily, I will survive.”

“Anayedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn.Mnalishwa chungu na tamu na vyote mnakula. Vinyoka nyamazeni acheni Anaconda aongee.”

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW