Burudani

Juma Nature aangukia kwenye Uproducer

Juma-Nature

Mwanamuziki wa kizazi kipya Juma Kasim Nature, amesema hivi sasa amejikita zaidi katika masuala ya utengezaji wa kazi za wasanii ikiwemo na zake mwenyewe. Anasema miongoni mwa kazi anazotengeneza ni pamoja na albamu ya Jb wa Mabaga Fresh.

Amesema ananyimbo nyingi, ambazo karibuni atazitoa, ambazo miongoni mwa nyimbo hizo amefanya kwenye studio ya P Funk Majani, Bongo Record na nyingine amefanya kwa mkono wake yeye mwenyewe kwenye studio yake ya Halisi Record.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents