Burudani

Kaka Jay: Nyimbo za kizalendo zinalipa sana, Wasanii wa Bongo Fleva wengi wana njaa (Video)

Msanii wa muziki, Kaka Jay ambaye wiki chache zilizopita ameachia wimbo ‘Nampenda Magufuli’, amefunguka kwa kudai kwamba nyimbo za kizalendo zinalipa huku akidai wasanii wengi wa BongoFleva maisha yao ni mabovu na wachache wanaotumia kiki ndio wanaofanya vizuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents