Tia Kitu. Pata Vituuz!

Kassim Mganga aachia video ya wimbo wake ‘InBOBO’ akiwa amemshirikisha Nandy na Fid Q

Msanii wa Bongo Flava, Kassim Mganga ameachia video ya ngoma yake mpya ‘InBOBO’, akiwa amemshirikisha Nandy na Fid Q.

Video hiyo mpya ya Kassim Mganga ikiwa imeongozwa na Director IVAN huku mziki ukitengezwa na ALONEYM.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW