Burudani

Kevin Hart kuitwa baba kwa mara ya tatu

Kevin Hart ambaye ni mchekeshaji na muigizaji wa filamu pamoja na mkewe Eniko Parrish wameamua kusherehekea siku ya mama duniani kwa kuutaarifu ulimwengu habari njema.

Wawili hao wanatarajia kuongeza familia yao kwa kupata mtoto ifikapo mwakani.

Hart ndio ametoa tarifa hizo kupita matandao wa Instagram, kwa kuandika, “Celebrating Mother’s Day with my beautiful wife. We are laughing at the fact that this time next year we will be celebrating her 1st actual Mother’s Day. #Harts #Blessed.”

Wawili hao walifunga ndoa mwezi August mwaka jana mjini California, Marekani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents