Burudani

Kilichojiri baada ya Kassim Mganga kuweka ndevu zake rangi

Msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga amesema kuna baadhi ya mashabiki wamembeza baada ya kuweka ndevu zake rangi.

Kassim Mganga ameiambia E-Newz ya EATV kuwa huwa akiamka asubuhi na kujisikia kufanya jambo fulaui huwa anafanya tu bila kujali watu wataongea nini.

“Niliamka nikajisikia kuweka mvi kwenye ndevu zangu kama ambavyo siku zote najisikia kufanya kitu kingine. Kwenye kufanya jambo huwezi kumfurahisha kila mwanadamu, unapofanya jambo lazima utegemee yes na no, hivyo mimi nilikuwa nategemea tu, kwa hiyo haikunishtua. Sijui, nikijisikia naweza nikaendelea (kuweka) au nikaacha,” amesema Kassim Mganga.

By Peter Akaro

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents