Burudani

Mke wa Kanu aikumbuka ndoa yake

Mke wa mchezaji soka maarufu duniani Nwankwo Kanu, Amara Kanu siku ya jana amekuta akiikumbuka siku ya ndoa yake na mchezaji huyo.

Amara ambaye ni mwandishi wa vitabu na mjariamali, siku ya jana alipost picha yake ya zamani akiwa na Kanu wakati wa ndoa yao ya kimila ambayo imetimiza  miaka 13.

Kupitia mtandao wa Instagram Amara alipost picha hiyo na kuandika

“13 years to the day. Traditional Marriage to this hunk of a man @kingkanu4??? Thanks Facebook for the reminder picture lol. Either way it’s going to be an amazing month of July 2017. Who’s with me for a super celebration and testimony in the form of my new book “Healthy Living with Amara Kanu” ? .”

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents