Kilimanjaro iko juu

Kilimanjaro iko juu
Inasemekana kwamba wasanii kutoka Marekani, Justin Timberlake, Lupe
Fiasco na Kenna wapo katika maandalizi ya kupanda mlima wetu wa
Kilimanjaro kwa pamoja

Wanasema kwamba itafanyika mwishoni wa mwaka huu, na kwa sasa wanakula tizi ya nguvu kwa ajili ya kuongeza nguvu na uwezo wa kupumua.

Kenna amesema sababu kuu ya kupanda mlima wa Kilimanjaro ni mmoja ya jitihada za kuhamasisha watu kutumia na kuthamini maji masafi, miaka ya mbele tunaweza kujikuta katika wakati ngumu kutokana na upungufu na matumizi mabaya ya maji masafi duniani.

Jamani na sisi tunawaomba kueni makini wakati mnatumia maji, maana maji ni uhai wetu na siyo kitu cha bure…

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents