Burudani

Kim Kardashian aibuka upya na picha za utupu

By  | 

Kim Kardashian yupo radhi kufanya jambo lolote ilimradi apate fedha.

Mrembo huyo wa Kanye West amepiga picha za utupu kwa ajili ya tangazo la vipodozi vya KKW Beauty.

Mara ya mwisho kwa Kim kupiga picha kama hizo ilikuwa ni mwezi Juni mwaka jana alipotokea kwenye kava la jarida jipya la GQ katika toleo lililopewa jina la “Love, Sex, and Madness.”

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments