Burudani

King of Bss Second Chance 2011 Haji Ramadhan

Bss_final_Face
Haji Ramadhani ndiye mshindi mpya wa shindano la Bss Second Chance ambalo limefikia mwisho kwa kupata washindi wanne ambao walijizolea mafedha kibao, akiwemo Rodger Lucas, Wazili Salum Bella Kombo na mshindi Haji Ramadhani . Haji Ramadhani aliitwa shilingi Milioni 40, katika shindano hilo huku wenzake wakiondoka na vifurushi vyao

 

Bsss_fina_washiriki
Washiriki wa Fainali za Bongo Star Search, wakiwa kwenye hofu ya kumjua ni nani anayeweza kuondoka na kitita cha milioni 40, ambazo walikuwa wakiwania kwenye shindano hilo. Kuanzia kulia ni Haji Ramadhani, Bella Kombo, Rodger Lucas na Wazili Salum
bss_faina_Mr_Flevour

bss_faina_Mr_Flevour

Msanii kutoka Nigeria naye alikuwepo Mr Flevour, akifanya mambo yake jukewaani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents