Burudani

King Sempa aachia mixtape mpya ‘City Of DSM’, isikilize hapa

Msanii na mtangazaji wa Kiss FM, King Sempa ameachia mixtape yake mpya yenye ngoma 7 ndani yake.

Miongoni mwa ngoma zinazopatikana katika mixtape hiyo ni ‘Sina Jambo Remix’ ya Bill Nass, ‘Dreamer’, ‘From Nothin’, ‘On My Own’, ‘Been Thru’, ‘Never Forget’ na ‘On My Own’.

Mixtape hiyo imetayarishwa na producer Aswile. Hii ni mixtape ya pili kwa msanii huyo ukiachana na ‘255 Come Up’ aliyoitoa mwezi October mwaka jana.

Bonyeza hapa kusikiliza mixtape hiyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents