Michezo

Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto aachiwa kwa dhamana Mkoani Shinyanga

Mchezaji wa Klabu ya Simba, Mwinyi Kazimoto ameachiwa kwa dhamana baada ya shauri lake kusikilizwa kizimbani katika mahakama ya Mkoa wa Shinyanga, jana Feb 22.

02-Aveva

Kazimoto anatuhumiwa kumshambulia mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communication Ltd, Mwanahiba Richard.

mwanahibaRichard
Huyo ndo mwandishi Mwanahiba Richard aliye fanyiwa shambulio

Hata ivyo kiuongo huyo ameachiwa kwa dhamana na kesi yake itasikilizwa kwa mara nyingine tena mwezi Machi 21, mwaka huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents