Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

List yote ya washindi wa tuzo za Mo Simba Awards 2018

Usiku wa Jumatatu mdhamini mkuu wa Mabingwa wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji aliandaa tuzo maalum ‘Mo Simba Awards 2018’ zilizofanyika Hyatt Regency jijini Dar es salaam kwaajili ya kuwapongeza wachezaji wa klabu hiyo waliofanya vizuri mwaka huu.

WASHINDI WA TUZO ZA MO SIMBA 2018

• GOLIKIPA BORA WA MWAKA
Aishi Manula – WINNER
• Said Mohamed ‘Nduda’
•  Emmanuel Elias Mseja

• BEKI BORA WA MWAKA
• Yusuph Mlipili
Erasto Nyoni – WINNER
• Shomari Kapombe

• KIUNGO BORA WA MWAKA
• Jonas Mkude
• James Kotei
Shiza Kichuya – WINNER

• MSHAMBULIAJI BORA WA MWAKA
Emmanuel Okwi – WINNER
• John Bocco
• Shiza Kichuya

• MCHEZAJI BORA MWANAMKE WA MWAKA
• Rukhia Salum
Zainabu Rashidi Pazzi – WINNER
• Dotto Makunja

• MCHEZAJI BORA MDOGO WA MWAKA
• Ally Salim (GK)
Rashid Juma – WINNER
• Salumu Shabani

• GOLI BORA LA MWAKA
John Bocco (Simba VS Mwadui)

• TUZO YA BENCHI LA UFUNDI
• Pierre Lechantre – Kocha Mkuu
• Masoud Djuma – Kocha Msaidizi
• Mohamed Aymen – Kocha wa Viungo
• Muharam Mohamed – Kipa wa Makipa
• Richard Robert – Meneja wa Timu
• Yassin Gembe – Daktari wa Timu
• Abbas Selemani – Mratibu

9. SHABIKI BORA WA MWAKA
– Fihi Salehe Kambi

10. MHAMASISHAJI BORA WA MWAKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Hamis Mwinjuma (Mwana FA) – WINNER
Salama Jabir – WINNER
• Zitto Kabwe
• Vyonne Cherrie (Monalisa)
• Omary Nyembo (Ommy Dimpoz)

11. MHAMASISHAJI BORA
Haji Manara

12. TAWI BORA LA MWAKA
• Wazo Hill
Ubungo Terminal – WINNER
• Vuvuzela

13. KIONGOZI BORA WA MWAKA
Kaimu Rais wa klabu ya Simba, Salim Abdallah Muhene

14. TUZO YA WASIMAMIZI WA MCHAKATO WA MABADILIKO
• Jaji Mstaafu Thomasi Mihayo
• Wakili Damasi Ndumbaro
• Abdulrazak Badru 
• Mussa Hassan Zungu
• Yusuph Nassoro
• Brenda Mrema
• Mzee Hamis Boma
• Revocatus Cosmas Sangu
• Hashim Nyendage
• Gervas Alpha Honest
• Emmanuel Metusela Urembo
• Mulamu Nghambi
• Selemani Omari
• Aziz Kifile
• Salim Abdallah Muhene
• Arnold Kashembe
• Omari Bakari Mtika
• Evodius Mtawala

15. TUZO YA HESHIMA (LIFETIME ACHIEVEMENT)
Selemani Matola – WINNER

• MCHEZAJI BORA WA MWAKA
• Emmanuel Okwi
John Bocco – WINNER
• Shiza Kichuya

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW