Habari

#LIVE: Rais Magufuli akishiriki ibada ya kumuombea Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa (+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  amejumuika na Watanzania katika Misa ya Kumuaga Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa Kutoka Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam, leo Julai 26, 2020

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents