Aisee DSTV!

LIVE: ZIARA YA RAIS MUSEVENI WA UGANDA NCHINI TANZANIA (VIDEO)

Rais wa Uganda Yoweri Museveni leo anatua nchini Tanzania kwa ziara yake binafsi na kuelekea mkoani Geita katika Wilaya ya Chato, ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais Dk John Pombe Magufuli kabla ya kuelekea katika kijiji cha Mlimani.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW