Aisee DSTV!

Maafisa 8 wa polisi wanahofiwa kufariki, baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir mpakani mwa Kenya na Somalia kukanyaga bomu fahamu zaidi

Maafisa wanane wa polisi wanahofiwa kufariki baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir Kaskazni mwa Kenya kukanyaga bomu, fahamu zaidi

Maafisa wanane wa polisi wanahofiwa kufariki baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir Kaskazni mwa Kenya kukanyaga bomu.

Note: Picha haihusiani na tukio.

Kwa mujibu wa BBC.Inspekata jenerali a polisi Hillary Mutyambai ametoa taarifa iliosema kuwa gari hilo llikuwa imewabeba maafisa 11 na ilikuwa ikipiga doria katika mpaka wa Kenya na Somalia.

Tayari vikosi vya usalama ikiwemo wale wa anagni wamepelekwa katika eneo hilo kufuatia kisa hicho.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW