Maalim Sefu abariki tamasha la ZIFF

Sefu_Face

Mkamu wa raisi wa kwanza katika Serikali ya Zanzabar Maalim Sefu Sharif Hamad, jana alikuwa mgeni lasmi katika uzinduzi wa filamu ya Journey to the State House, iliyokuwa ikielezea uchaguzi wa mwaka 2010, ambao ulimpisha na kuwa makamu wa rais wa kwanza, baada ya pulukushani za hapa na pale.

 

 

Katika uzinduzi huo pia maalim aliujibu maswali mawili ya waandiashi wa habari ambao walitaka kujua kama kupewa cheo kile ni sawa na kumziba mdomo.

Lakini alijibu kwamba kupewa cheo hicho, sio kwamba kazibwa mdomo, lakini hawezi kuongea ovyo ama kuikosoa Serikali ambayo yeye yumo humo humo, ila
anachokifanya kwa sasa ni kumaliziana nao humo humo.

Sefu

Katika Swali la pili, Maalim aliulizwa kuhusu kauli yake kwa wananchi, kuhusiana na katiba, lakini akajibu kwamba hawezi kuongelea suala la katiba kwa kuwa tayari lipo mikononi mwa wananchi, hivyo anasubiri wananchi waamue na ndiyo yeye kama kiongozi atilie mkazo.

Sefu_jahazi

 

Sefu_akiaga

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents