Habari

MAMAs kuhamia Kampala??

 

Kuna uvumi unaoenezwa kwamba tuzo za MTV Africa Music Awards mwaka 2010 zitafanyika jijini Kampala nchini Uganda. Mpaka sasa MTV haijatoa tangazo rasmi lakini waganda wameshaanza kujipanga kwa tukio hilo la aina yake. MWaka jana ilifanyika jijini Nairobi nchini Kenya, ambapo Wyclef Jean aliangusha show ya nguvu akishirikiana na Akon.

Tutawaletea habari zaidi zitakapotufikia, hivi Bongo tunashindwa nini kuwavutia MTV??

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents