Habari

Marekebisho jengo la Kitalu ‘A’ lenye nyufa kufanyika wakati jengo likiwa linatumika

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), imesema marekebisho katika jengo la Kitalu A lenye nyufa yanaweza kufanyika wakati jengo likiwa linatumika hivyo uongozi huo umewahakikishia wanafunzi, Wazazi kwa ujumla kuwa wanafunzi pamoja na majengo yao wako salama.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents