Burudani

Video: Miss Tanzania mwaka 1998 atoa shavu kwa Mama Ntilie

Aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998, Basilla Mwanukuzi ameanzisha taasisi yake itakayoweza kusaidia mama lishe nchini kote. Mrembo huyo amebainisha kazi ya taasisi hiyo ambayo itafanya kazi ya kutoa elimu kwa wajasiliamali hao ambao wapo katika sehemu rasmi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents