Michezo

Sijawahi kujuta kuwepo ndani Yanga – Eng. Hersi

“Sijawahi kujuta kuwepo Yanga, ni taasisi ambayo ipo kwenye moyo wangu muda wote, challenges ambazo nakutana nazo ni challenges ambazo zinahitaji busara na nimekuwa nikipata ushauri kutoka kwa wazee wangu, viongozi wangu akiwemo Ghalib,” Rais wa Yanga Sc, Mhandisi, Hersi Said.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents