Michezo

Sweden waikataa VAR

Sweden imekuwa Nchi ya kwanza kukataa matumizi ya VAR kwenye michezo inayosimamiwa na Shirikisho la Soka la Nchi hiyo.

Hii inakuja baada ya mashabiki na timu 32 kugomea matumizi ya teknolojia hiyo ya usaidizi wa waamuzi.

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents