Michezo

Mario Balotelli aanza vituko vyake, azozana na refa Chris Foy

Mshambuliaji Mario Balotelli mwenye umri wa miaka 24, aliyehamia Anfield kutoka AC Milan kwa Pauni milioni 16 mwezi uliopita, jana alitolewa nje katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Wolves baada ya kuzozana na refa, Chris Foy.

1409926720052_wps_76_Liverpool_s_new_star_stri
Balotelli akielekea nje baada ya mzozo huo

Bahati nzuri, alizuiwa na mchezaji mwenzake, Kolo Toure wakati Foy akizungumza naye kwenye mchezo huo.

Chanzo cha mzozo huo ni baada ya Mtaliano huyo kugongana na mchezaji wa Wolves. Baada ya mzozo huo tu, Balotelli alitolewa nje mara moja.

1409926933775_wps_79_PICTURE_BY_CHRIS_NEILL_07

1409926662842_wps_75_Liverpool_s_new_star_stri
Kolo Toure (kushoto) akimzuia Balotelli asiendelee na mzozo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents