Burudani

Mashujaa waongeza wanenguaji

Mashujaa_wakicheza

Bendi ya muzuki wa dansiĀ  nchini Mashujaa Music bend wamesema kwa sasa wamekusanya wacheza shoo almarufu kama wanenguaji kutoka bendi mbalimbali kwaajili ya kuboresha bendi yao. amesema baadhi ya wacheza show hao ni


Dogo Nyamwela, kutoka TOT Plus,Aisha Twiga kutoka Mapacha watatu,Suzi kutoka Kimwana Twanga Pepeta na BabyWaitt pamoja na Jack kutoka Rufita Connection. Jadol Ffu kiongozi wa kundi hilo amesema kwa sasa wamepeleka wimbo wao mpya radioni unaoitwa Hukumu ya Mnafiki.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents