Michezo

Matokeo ya mechi za UEFA Feb 17 Roma vs Real Madrid,Gent na Wolfsburg

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilichezwa usiku wa February 17 mechi kati ya Gent dhidi ya Wolfsburg na mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya AS Roma ya Italia, ilikamilisha idadi ya timu 8 za kwanza kucheza mechi zake za kwanza za hatua ya 16 bora.

3153396700000578-0-image-a-40_1455743285986
Cristiano Ronaldo akishangilia goli pamoja na kocha wake

Mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu usiku wa February 17 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ni mchezo kati ya Roma dhidi ya Real Madrid.

31534E3A00000578-0-image-m-62_1455743959864

Mchezo wa Real Madrid ya Hispania ulimalizika kwa ushindi wa goli 2-0, licha ya AS Roma kuwa katika uwanja wao wa nyumbani, Goli la kwanza la Real Madrid lilifungwa dakika ya 57 na Cristiano Ronaldo na Jesse Rodriguez alifunga goli la pili dakika ya 86.

article-3451840-31538EA900000578-961_636x382

31530C1C00000578-0-image-a-48_1455742749718
Mchezaji Julian Draxler wa Wolfsburg akishangilia goli

Namchezo kati ya Gent na Wolfsburg ulimalizika kwa Gent 2 – 3 Wolfsburg.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents