Michezo

Mayweather kurudia kuzichapa na Maidana Sept 13

Bingwa wa dunia wa ngumi za uzito wa kati Floyd Mayweather ametangaza kuwa atapanda ulingoni kupambana na Marcos Maidana, Septemba 13 mwaka huu mjini Las Vegas.
M
Mayweather akizichapa na Maidana katika pambano lililopia

Kupitia ukurasa wa Myweather amesema: Mayhem Mayweather vs. Maidana 2, September 13, 2014 MGM Grand in Las Vegas Live on Showtime PPV

Mayweather alimzidi Maidana katika mpambano ambao ulizua utata mwezi Mei, na alisema kuwa atarudiana na Muargentina huyo katika ulingo wa MGM Grand, Las Vegas.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents