Habari

Mbunge wa Chadema ajivua Ubunge, na kuhamia CCM (Video)

Dr Godwin Oloyce Mollel aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia leo na kujiuzulu Ubunge, amedai anamuunga mkono Rais Magufuli ambaye anapigania rasilimali za nchi yetu.

Hii taarifa yake ya kujiuzulu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents