Michezo

Mbunge wa Chemba Juma Nkamia apendekeza Samatta kujengewa Sanamu nje ya Uwanja wa taifa – Video

Mbunge wa Chemba Juma Nkamia apendekeza Samatta kujengewa Sanamu eneo hili - Video

Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Chemba), Juma Nkamia amependekeza kujengwa kwa sanamu la Mbwana Samatta, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, iwe kumbukumbu ya mafanikio aliyoyapata kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kuchezea Ligi Kuu ya Uingereza.

Mbunge wa Chemba Juma Nkamia na Mbwana Samatta

Nkamia amesema kuwa “mimi kwangu sio tatizo kujengwa kwa sanamu la Mbwana Samatta hata pale nje ya Uwanja wa Taifa, tena naamini hatua hiyo itakuwa kubwa sana kwake, na heshima kubwa sana kwa Taifa na naamini itakuwa chachu kwa vijana wanaochipukia

Chanzo Eatv.tv

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents