Tia Kitu. Pata Vituuz!

MC Pilipili – Mimi ni mmoja kati ya walioathirika na Corona (Video)

Mchekeshaji @mcpilipili amefunguka kuzungumzia jinsi kusambaa kwa virusi vya corona kulivyoathiri maisha yake kupitia shughuli ya uchekeshaji anayoifanya. Pilipili amewataka wananchi kuendelea kuchukua hatua pamoja na maelekezo yanayotolewa na serikali ili kuweza kupambana na janga hilo ambalo linaitesa dunia kwa sasa.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW