Muziki

Mchekeshaji Jay Mondy awa kituko kwenye Video mpya ya Young Dee ‘Naoa’

Mchekeshaji Jay Mondy awa kituko kwenye video mpya ya Young Dee 'Naoa'

 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young Dee ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la “Naoa”. Msanii huyo ameachia nyimbo hiyo ambayo mwanzoni ilisemekana kama anaoa lakini mwisho wake ilionekana kumbe ilikuwa ni project kuhusu wimbo wake mpya ambao kauachia leo.

 

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents