BurudaniHabari

Mchizi Mox aleta “Mikasika”

Mchizi Mox“Najua kitu wanachopenda watu wangu na hivi ndio sababu zilizopelekea nisisite kuachia jiwe langu ‘mikasika” ni maneno yake mteule Mox a.k.a Mchizi, ambaye safari hii ametokea katika studio za Baucha Records.

Mox ambaye liwaahidi mashabiki wake kuhusu ujio wa albam yake ‘goli la kwanza’ ambayo mpaka sasa kimya mtaani, lakini cha kufufrahisha ni kuwa Mchizi Bado anaendelea kushusha Mvua ya mipini “napenda watu wangu wajue kuwa ‘mikasika’ ni rasha rasha tu mvua yenyewe inakuja kwani nina silaha za kutosha” alisema.

Moja ya vibao ambavyo vimemuweka juu mchizi huyu ni pamoja na ‘mambo vipi’ je ujio huu mpya wa mteule huyu utayafikia matawi yale?

Sikiliza “Mikasika feat Nuruely” hapo chini
{play}mchizi_mox_mikasika_ft_nuruely.mp3{/play}

Source: Bongo5

{mos_sb_discuss:6}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents