Burudani
Mchumba wa Mabeste, Lisa Karl Fickenscher ajifungua mtoto wa kiume ‘Kendrick’
Mabeste Venance is offially a new dad in town. Rapper huyo wa B’Hits na mchumba wake Lisa Karl Fickenscher jana wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina ‘Kendrick.
Kendrick
Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya Massana iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Muda mfupi baada ya kuwa baba, Mabeste alitweet;
Waoooow,, guess waaaat?? i gatcha Baby Boy.. Thanks Lord! #TeamMabeste
— Mabeste Venance (@MabesteWiliam) July 19, 2013
Mabaste akimbeba mwanae
Lisa na mwanae
Hongera sana Mabeste na Lisa.
Picha: Dj Choka/Mabeste Venance Blog