Burudani

Mesen Atoa video ya Nyamu

Mesen_Selekta

Producer Mesen Selekta amekamilisha video yake mpya inayokwenda kwa jina la Nyamu, huku akiandaa na kuja na vitu vikali zaidi katika tasnia hii ya muziki wa kizazi kipya. Mwanamuziki na mtayarishaji wa muziki tangu ajitoe katika kundi la Mexicana Lacavera hivi sasa anafanya kazi yeye kama yeye huku akitoa ushauri na kuwatengenezea biti wanamuziki ambao mwanzo alikuwa nao pamoja yaani Mexicana.


Mesen -Nyamu

{hwdvs-player}id=1692|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents