Burudani

Mez B kuzikwa leo mjini Dodoma

Maelfu ya wakazi wa mjini Dodoma leo wameshiriki kumuaga msanii wa R&B, Moses Bushagama aliyejulikana zaidi kwa jina la Mez B.

11008093_1016319818396495_1134055435_n

Mez B alifariki February 20.

Mwili wake ulianzwa kuagwa kuanzia midaa ya saa sita mchana kwenye viwanja vya Nyerere Square mjini humo.

Ibada ya mazishi inafanyika kwenye makaburi ya wahanga, Maili Mbili mjini humo ambako ndiko atakapozikwa.

Wasanii mbalimbali wamehudhuria mazishi yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents