Michezo

Mfahamu Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery na mafanikio yake (Video)

Je Unayafahamu mafanikio ya Meneja mpya wa Arsenal kabla ya kujiunga na washika bunduki hao wa London? Unai Emery licha ya kuisaidia klabu ya PSG kutoka nchini Ufaransa kutwaa taji la ligi kuu nchini humo Ligue 1 msimu huu Vile vile mnamo msimu 2013 aliisaidia klabu ya Sevilla inayoshiriki ligi kuu nchini Uhispania kutwaa taji la UEFA Europa League kwa msimu mitatu mfululizo kuanzia msimu 2013 hadi msimu 2016.Tutarajie mafanikio gani kutoka kwa Mhispanyola huyu katika klabu hii pendwa kabisa katika ligi kuu nchini Uingereza?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents