Michezo

Miaka 31 ya Usain Bolt na mafanikio lukuki (Video + Picha)

Mwanariadha mstaafu mwenye rekodi ya dunia ya kuwa na kasi zaidi, Usain Bolt hii leo anasherekea siku yake ya kuzali akiwa ametimiza miaka 31.

Mwanariadha huyo wa Jamaica jina lake kamili ni Usain St Leo Bolt mzaliwa wa mji wa Sherwood Content nchini Jamaica amezaliwa 21 Agosti 1989 na hivyo leo anatimiza miaka 31 toka kuzaliwa kwake.

Bolt alivunja rekodi iliyowekwa na mwenzake wa Jamaica, Asafa Powell ya 9.74 akiweka muda wa 9.72 mnamo mwezi Mei 2008 na kuivunja tena rekodi hiyo hadi 9.69 katika michezo ya Olimpiki ya Beijing.

Katika riadha za dunia za 2009 mjini Berlin alivunja tena rekodi hiyo kwa kuweka muda wa 9.58.

Rekodi za kutisha za Usain Bolt hizi hapa

Mji wa Sherwood Content alipozaliwa Usain Bolti

Alichoandika Usain Bolt katika mtandao wake wa Instagram

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents