Burudani

Michongo na harakati za Drake kuanikwa kwa njia ya Documentary

Kila anayefanikiwa katika maisha lazima atakuwa na stori alipoanzia hivyo hivyo kwa rapper mwenye asili ya Canada Drake ambaye anatarajia kutoa documentary itakayoelezea safari yake ya kimuziki katika kuanzia kwao had Marekani.


Documentary hiyo iliyopewa jina la ‘Toronto to Houston’ inatarajiwa kutoka ifikapo mwezi wa nane majira ya joto. Kipande cha bvideo ya documentary hiyo kimeachiwa na MarQuis Trill kupitia mtandao yake ya kijamii wa Instagram.

MarQuis ambaye ni C.E.O wa Entertainment258 Agency Inc ameweka kipande hicho na kuandika ““People always ask, ‘How did you get started?’” Trill explained in the doc announcement. “Well one way was filming @Champagnepapi in Houston, Texas. Every concert, event, club, or appearance that happened in H-Town, I was there.”
https://www.instagram.com/p/BdomJuRn0dK/?taken-by=marquistrill

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents