Mikoa 9 kukumbwa na Mvua kubwa nchini, TMA yatoa tahadhari na athari zitakazo jitokeza 

Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), imetoa utabiri wa siku tano leo tarehe 05/02/2020 na angalizo la Mvua kubwa kunyesha kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Singida, Dodoma, Morogoro Kusini, Mbeya, Songwe, Njombe, Rukwa, Iringa na Ruvuma.

Image result for mvua za vuli"

Kwa mujibu wa TMA, athari ambazo zinaweza kujitokeza ni pamoja na Baadhi ya makazi kuzungukwa na Maji, ucheleweshwaji wa usafiri, kusimama kwa muda baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

Hivyo Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) imewataka wananchi kuzingatia taarifa na kujiandaa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW