Shinda na SIM Account

Miley Cyrus awaacha njia panda waliodai ni mjamzito

Msanii kutoka Marekani, Miley Cyrus amewajibu watu ambao ambao wamemtabiri kuwa ni mjamzito.

Mrembo huyo ambaye Alhamisi hii ilikuwa ni siku ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa, alipost picha hiyo hapo juu kupitia mtandao wake wa Instagram akiwa ameshikilia tumbo lake na kuandika maneno ambayo yalionekana kuwa na mimba. Kupitia mtandao huo Miley aliandika, “So close to b-day time! Stoked for a day full of Tofurkey & loved ones! Ain’t it ironic? #VeganTurkeyBaby.”

Hata hivyo Miley ambaye ametimiza miaka 25, ametumia mtandao wa Twitter kukanusha taarifa hizo kwa kuandika, “RUDE!!! Not pregnant just eating a shit ton of tufurkey.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW