Burudani

Mkali wa vina Solo Thang, anakutana na mkali wa free style Godzila

solo_thang-face

Mwanamuziki mkogwe katika game hili la Bongo Fleva Msafiri almaarufu kama Mtravellah ila ukipenda unaweza kumwita uramah katika  biashara ya muziki anajulikana kama Solo Thang, ambaye  amekuja na ujio wa kipekee kwa kuuza kazi zake kwa njia ya mtandao hasa  albamu yake ya Uwezo Mia mia Vol I.  


 

 

mwanamuziki huyo ambaye kwa sasa amejichimbia hukoo mbele na kufanya kazi zake, kiinternational zaidi, bila ya kufuatanafuatana kwa kusumbuana na  maproducer wala na wadosi, kwa kutuma kazi zake kimtandao tandao, hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Mia Mia, akiwa na mkali wa Free style Godzila ikiwa kama karibu 2012.

Hebu fikiria mkali wa vina anapokutana na mkali wa Free Style, nini kitajili……………
Solo thang feat Godzila- Uwezo Mia mia

{hwdvs-player}id=1688|width=560|height=340{/hwdvs-player}

 Kariakooo, Sinza, Mwenge, Posta, Kibaha, Buguruni,Kawe, Tandale, Manzese, Uzuri, ……… Unaweza kushangaa kutaja maeneo yote hayo. ila hebu angalia wimbo huu, na utangundua jamaa amefanya bonge la kazi, ambayo research yake pekee ya kutafuta majina ya vitongoji ni kazi…. kama kwenu hapaja tajwa ujue haupo Dar es salaam

Anaitwa Yaki Feat Chibwa-Popote Nipo

{hwdvs-player}id=1687|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents