Mke amsababishia kujiua

Kenyela

Mkazi  wa Ubungo Maziwa  aliyejulikana  kwa jila la Festo Phiripo (40) mwanaume,   juzi saa saba mchana alianguka ghafla toka chooni na kufariki papo hapo.

 

Amesema  kulikuwa na ugonvi wa kifamilia kati ya marehemu na mke wake, baada ya marehemu kukopa kiasi cha shilingi za kitanzania 400,000 na kuzitumia kwa starehe.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala na upelelezi unaendelea.

Kamanda wa polisi kimkoa wa polisi Kinondoni Charles Kenyela, amesema chanzo cha kifo  hicho inasadikiwa marehemu alikunywa sumu kwa mujibu wa maelezo ya mkewe  Jesca Andrew (33).

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents