Michezo

Mkhitary kuanza leo dhidi ya Feyernoord

Kocha wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amesema kwamba kuelekea mchezo wao wa UEFA Europa, atamchezesha mchezaji Henrikh Mkhitaryan kwenye mtanange huo ambao watapambana na Feyernoord kwenye michuano hiy.

1479785016_henrikh-mkhitaryan-jose-mourinho-manchester-united

Mourinho aliyasema hayo baada ya kuulizwa na waandishi ni kwanini hakumpanga mchezaji huyo kwenye mechi iliyo pita dhidi ya Arsenal.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents